Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,319
- 52,007
Kuitwa kupo mara mbili, kuna kuitwa mbinguni na kuna kuitwa jfMoja ya kanuni za humu ni kwamba " Usiitike bila kuitwa".
Umemaanisha kuitwa kupi?
Kuitwa kupo mara mbili, kuna kuitwa mbinguni na kuna kuitwa jfMoja ya kanuni za humu ni kwamba " Usiitike bila kuitwa".
Kuna ka nchi nipo huku Asia mkuu.Ni kweli uvumilivu unatakiwa.Tushazoea mkuu home sweet home hata kama kuna kasoro, we uko nchi gani?
Kabisa, huko ni saa ngap saa hiziKuna ka nchi nipo huku Asia mkuu.Ni kweli uvumilivu unatakiwa.
07:15:17 ICTKabisa, huko ni saa ngap saa hizi
Nipo. Za kwako?Upo ?
Salama. Mzima bibie ?Nipo. Za kwako?
Haina,nikabidhi bro ! Nimetimba kuja kukusanya virago kabisa.naomba nikabidhi lindo
Naona tumebaki wenyewe humu ndani,mtu be tu!Nipo. Za kwako?
Sasa tusepe au ?
Endelea tu. ..mimi nipo bado.Sasa tusepe au ?
Unasubiri tena humu shauri yako,nitakuacha peke yako ?!Endelea tu. ..mimi nipo bado.
Pako salama, usijali.Unasubiri tena humu shauri yako,nitakuacha peke yako ?!
Wataona vurugu zangu humu.....Pako salama, usijali.
Kumbe una fujo?Wataona vurugu zangu humu.....
Hakuna mfano,yaani sifai hata kidogo.....!Kumbe una fujo?
Acha niende nawe pole pole basi. ...maana fujo nazisikiaga kwa JiraniHakuna mfano,yaani sifai hata kidogo.....!
Umefanya maamuzi ya busara sana,sababu .............!Acha niende nawe pole pole basi. ...maana fujo nazisikiaga kwa Jirani