Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,320
- 52,017
Wenzangu wanasinzia hovyoNdugu walinzi wenzangu
Humu kuna wakuondoka nae?Si mchezo.....na mimi leo nimejikuta humu.....
Hata sijui mie mgeni humu...... nikipata sitokataa.....Humu kuna wakuondoka nae?
Sitokataa hata mimi maana huu ukame nilionao sio wa nchi hiiHata sijui mie mgeni humu...... nikipata sitokataa.....

Humu kuna kanuni zake nasikiaUsingizi umekata ghafla, nikaribisheni humu maana sijawahi fikiria siku moja ningejikuta huku
Ndio zipi hizo mkuu?!Humu kuna kanuni zake nasikia
Unatakiwa uanzie na neno aliloishia mwenzakoNdio zipi hizo mkuu?!
Tunakusikiliza.Ndugu walinzi wenzangu
TupuMtakunywa gahawa tupu au na kashata?![]()
Sikujua, asante kwa kunijuzaUnatakiwa uanzie na neno aliloishia mwenzako
Huku mida ya wanga tayar, ni saa 2:53 amNi saa ngp huko?Ila hilo li nchi bwana!!zuri but CCM wameliharibu sn.
Kukujuza ni wajibu wanguSikujua, asante kwa kunijuza
Haya mkuu, pole Kwa majukumu.Pole Kwa kuwa kwny kinchi ambacho kina uongozi wa hovyo kabisa kuwahi tokeaHuku mida ya wanga tayar, ni saa 2:53 am
Moja ya kanuni za humu ni kwamba " Usiitike bila kuitwa".Humu kuna kanuni zake nasikia
Tushazoea mkuu home sweet home hata kama kuna kasoro, we uko nchi gani?Haya mkuu, pole Kwa majukumu.Pole Kwa kuwa kwny kinchi ambacho kina uongozi wa hovyo kabisa kuwahi tokea
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app