JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kiulaiiiniii
IMG-20180917-WA0015.jpg
 
Hizo biashara nazionaga mkuu, kila mbuyu una shetani wake, tatizo humu mibuyu yenyewe inaweka picha za miembe na miwaridi, na hata mipasheni, kumbe unaweza ukaikuta uhalisia ni michongoma sasa sijui huyo shetani gani anakaa michongomani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weweee kakaa chukuaa mbuyuu uchongeee wee uwe kama muembee unakula matunda swafiii
 
Back
Top Bottom