JamiiForums Usiku wa manane
weweee huchangiagii zile mada za na gari linasumbua sijui shaft hand break au nauza gari nissan zero grazing ukiziona changamkia alafu kapm akikataa basii huyooo sio njiwa wako mshuaa
Hizo biashara nazionaga mkuu, kila mbuyu una shetani wake, tatizo humu mibuyu yenyewe inaweka picha za miembe na miwaridi, na hata mipasheni, kumbe unaweza ukaikuta uhalisia ni michongoma sasa sijui huyo shetani gani anakaa michongomani
 
Back
Top Bottom