Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Shukrani HB.Salam kwa hawa wadau.
Inna
Thad
Bbade
Astelia
Mambo yanaendaje?
Shukrani HB.Salam kwa hawa wadau.
Inna
Thad
Bbade
Astelia
Fresh. Mzima?Shukrani HB.
Mambo yanaendaje?
Mzima mimi. ...kigogo mnatunyima nini?Fresh. Mzima?
Mimi si ishi kigogo. Bali ni mgogo wa makao makuuMzima mimi. ...kigogo mnatunyima nini?
Mimi nataka ya peke yangu[emoji53]Salam kwa hawa wadau.
Inna
Thad
Bbade
Astelia
NzonjeleMimi si ishi kigogo. Bali ni mgogo wa makao makuu
Yaani hamna hata mwanaume1 haki ya nani[emoji30]Salam kwa hawa wadau.
Inna
Thad
Bbade
Astelia
Sisi ni mapacha wa nje, yaani baba mmoja mama mbali mbali![emoji23]
Thad karibu nimekumissMimi nataka ya peke yangu[emoji53]
Ulichepukia wapi siku zote hizo? Nimenuna[emoji53]Nimefika sasa. Lete maneno
Tumia kiswahili ili na wengine tusiwaache njia pandaNzonjele
Leo mwanzo mwisho,,,
Tabia yenu ya kulianzisha mapema sijaipenda mjueEee baba nakuona ulivyo na mori leo
[emoji122][emoji122][emoji122]Sisi ni mapacha wa nje, yaani baba mmoja mama mbali mbali![emoji23]
Bora ulisaidia kuwakemea[emoji23]Mda bado mbona mnamek noise,
Nitaanzia wapi wakati wewe upo umejaa moyoniUlichepukia wapi siku zote hizo? Nimenuna[emoji53]
Njoo sasa muda ushafika[emoji6]Leo mmewahi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tumia kiswahili ili na wengine tusiwaache njia panda
Yaani umeacha lindo umeenda mtaa wapili? Nitakusemea kwa bossHapana, mie niko mtaa wa Pili we hapa endeleeni tu