JamiiForums Usiku wa manane
Wanaume wa siku hizi ni tabu tupu hakuna cha wanaume wa Dar wala wa mikoani....eti wanaogopa giza hivyo wanasubiri kupambazuke ndio waje lindo
Cc @Ushimen,Shimba ya Buyenze,Kichwa Kichafu,Nleterewa Nganengo,Don Cleo....,mtu chake, Mr Miller, HB wa Kigogo, dingi mtoto
Yani hawa sijui wamebananizwa kwenye chocho gani wallah hadi midnight hivi hawajanusa
 
Wanaume wa siku hizi ni tabu tupu hakuna cha wanaume wa Dar wala wa mikoani....eti wanaogopa giza hivyo wanasubiri kupambazuke ndio waje lindo
Cc @Ushimen,Shimba ya Buyenze,Kichwa Kichafu,Nleterewa Nganengo,Don Cleo....,mtu chake, Mr Miller, HB wa Kigogo, dingi mtoto
Alafu wanaume wa sikuhizi kila kona ni janga tu hakuna wa dar wala mikoani shoo
 
Back
Top Bottom