mimi bado sanaHii ni dalili ya usingizi, naona mwataka kulala. Haya kojoeni mlale watoto wazuri eeeh!![]()
Basi tulia tusubirie usiku wa manane maana watoto bado hawajalalamimi bado sana
Basi tulia tusubirie usiku wa manane maana watoto bado hawajalala
Kijiwe chetu hakiitwi 'giza la manane bali usiku wa manane' subiri muda mwafakahuku giza la manane tayari sasa!
Hehehe ulijuajee shoga nna usingizi hapa utadhani tejaHii ni dalili ya usingizi, naona mwataka kulala. Haya kojoeni mlale watoto wazuri eeeh!![]()
utaniita basiKijiwe chetu hakiitwi 'giza la manane bali usiku wa manane' subiri muda mwafaka
Ngoja nianze kuandaa gahawaUsiku wa mananeView attachment 878879
Unaotaje baridi wakati kuna mbalamwezi?Me nipo tu hapa nje naota baridi
Nitakusemea kwa boss ufukuzwe hii kazi ishakushindaHehehe ulijuajee shoga nna usingizi hapa utadhani teja
Unajua kukojoa wewe ?Hii ni dalili ya usingizi, naona mwataka kulala. Haya kojoeni mlale watoto wazuri eeeh!![]()
Nadhani wanga wamenikamata wallah manake sio kwa usingizi huuNitakusemea kwa boss ufukuzwe hii kazi ishakushinda
Weka pilipili na ugoro kwenye macho ndio kiboko ya usingiziNadhani wanga wamenikamata wallah manake sio kwa usingizi huu
Kuna kukojoa na kujisaidia![]()
![]()
kwani kukojoa kupo kwa aina ngapi?
![]()
Hehehehehe huntakii mema ShoshWeka pilipili na ugoro kwenye macho ndio kiboko ya usingizi
Kukojoa kukojoa tu kujisaidia mbwembwe tu!Kuna kukojoa na kujisaidia