Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Petit hebu lala basi ,au zunguka mtaa wa Pili uangalie lindo linaendaje,hapa Anko wako nataka kuteta kdg na shangazi yakoAstelia njoo nakuita.....!
Bro nisaidie kumuita yna2.... Samahani lakini.Thad sasa njoo tuongee washalala
Sio mchezo mkuu lazima lindo liendelee hadi saa nne asubuhiNjoo na konyagi ndogo mbili au kubwa moja



Ujue we petit msumbufu sana,hebu niache niweke mambo sawa kwanzaBro nisaidie kumuita yna2.... Samahani lakini.
Unaitwa huku.Ufanye hivyo mamy
Kwani we umeajiliwa?Sio mchezo mkuu lazima lindo liendelee hadi saa nne asubuhi![]()
Zurri hapa bro,tusaidiane kuviita vitu vizuri.Ujue we petit msumbufu sana,hebu niache niweke mambo sawa kwanza
Asee hapa saa nne kweli tunafika, watu wanaenda breakfast sisi bado tunalindaOoh basi aongeze kubwa tatu na maji makubwa ma NNE
HahahaZurri hapa bro,tusaidiane kuviita vitu vizuri.



Mimi sinaga usingizi ,so niko mtaniacha na kesho tunaendeleaAsee hapa saa nne kweli tunafika, watu wanaenda breakfast sisi bado tunalinda
Hamna mkuu, mi mlinzi wa kujitemegeaKwani we umeajiliwa?
Safi,tulindeHamna mkuu, mi mlinzi wa kujitemegea
Usipige kelele wadogo zako bado wamelala usiwashtue, nyata taratibu taratibuhukuu ndio vyumbani kwa wazazii hadi usikuu mnatiririka sie watoto mmetulazimisha tulalee saa tatuuu![]()
mzee unanifundishaa chaboo au ndio tabia za utotoni unajaribu kuzipandikizaaUsipige kelele wadogo zako bado wamelala usiwashtue, nyata taratibu taratibu
Nyatamzee unanifundishaa chaboo au ndio tabia za utotoni unajaribu kuzipandikizaa
Avae na soksi kabisaNyata