Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mmmh! Ninawasiwasi wewe ni mwenyeji wa NakapanyaHahah Kitu Ntwara..
Mmmh! Ninawasiwasi wewe ni mwenyeji wa NakapanyaHahah Kitu Ntwara..
Cjui,wapotezeeOooh! Wangapi tunaowakosa leo?
Kwa nini kiongozi?Wagogo miyeyusho kinoma.
Hili swali nataka aniulize mtoto wa kike sio wewe kaka mkubwa.Kwa nini kiongozi?
Unanitafutia wapi? Sipo kwa leo huwezi niona labda keshoNakutafuta !

Furaha yako ndio furaha yangu..![]()
![]()
Nimecheka kwa nguvu
Kwema kabisaHili swali nataka aniulize mtoto wa kike sio wewe kaka mkubwa.
Kwema lakini bro ?
Humu humu,nimeshakuona tayari.Unanitafutia wapi? Sipo kwa leo huwezi niona labda kesho![]()
Hivyo eeeh! Basi inabidi unilipeNakumbuka wewe na inna ndio mlinikaribisha kwenye huu uzi![]()
![]()
![]()

Msikilize kijana mwenzioUnanitafutia wapi? Sipo kwa leo huwezi niona labda kesho![]()


Nimekumiss ujueNanyata![]()
Anasemaje kwani?Msikilize kijana mwenzio
Haya ndio mambo sasaNimekumiss ujue
Nimekuona bro,huku mikono umeiweka nyuma.Nanyata![]()
Mfuate chembaAnasemaje kwani?
Oooh! Kumbe una macho makali yaani kujificha kote huku lakini umeniona?Humu humu,nimeshakuona tayari.
