Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wale wote ambao Leo hamuwezi kuingia lindo nyoosheni mikono juu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wale wote ambao Leo hamuwezi kuingia lindo nyoosheni mikono juu
Vzr,usiku mwema,wasalimie, nadhani hata siku nyingine hutokuwepo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nipo lindo hapa kuhakikiasha akatizi hata mmojaHapa mtaani nyau nyau walianza kusumbua nikaona Nile nao sahani moja,
Safi..Sisi ni mapacha wa nje, yaani baba mmoja mama mbali mbali![emoji23]
Jamani jamani mbona mnaagana mapema yote hii?Asante na kwako pia
Nakumbuka wewe na inna ndio mlinikaribisha kwenye huu uzi [emoji173] [emoji173] [emoji173]Nimekumissimo zaidi[emoji8]
Hahaha,ngoja nikae kimyaUnamsema Zurri au?
Wakinyosha mikono unitag niwaoneWale wote ambao Leo hamuwezi kuingia lindo nyoosheni mikono juu
We kweli China pamekuharibu inamaana siku hizi unakula panya kama nyau?[emoji23][emoji23]Hapa mtaani nyau nyau walianza kusumbua nikaona Nile nao sahani moja,
Nakutafuta !Mimi nataka ya peke yangu[emoji53]
Na atakae katiza katiza nae!Nipo lindo hapa kuhakikiasha akatizi hata mmoja
Nilijua mgogo halisi, tuanze kukibonga hapaUlijua ni nini?
Tayari angalia juu hukoWakinyosha mikono unitag niwaone
Unakijua?Nilijua mgogo halisi, tuanze kukibonga hapa
Hahah Kitu Ntwara..We kweli China pamekuharibu inamaana siku hizi unakula panya kama nyau?[emoji23][emoji23]
Oooh! Wangapi tunaowakosa leo?Tayari angalia juu huko
Wagogo miyeyusho kinoma.Nilijua mgogo halisi, tuanze kukibonga hapa
Samaki nchangaHahah Kitu Ntwara..