Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Sema haki![emoji39][emoji39][emoji39]Nitaanzia wapi wakati wewe upo umejaa moyoni
Sema haki![emoji39][emoji39][emoji39]Nitaanzia wapi wakati wewe upo umejaa moyoni
Sisi wengine ni wagogo kwa majina tu. Tumekulia mikoani.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha, nakagua na hukoYaani umeacha lindo umeenda mtaa wapili? Nitakusemea kwa boss
Nimekumissimo zaidi[emoji8]Thad karibu nimekumiss
Usiku mwemaSisi wengine ni wagogo kwa majina tu. Tumekulia mikoani.
HakiSema haki![emoji39][emoji39][emoji39]
Unatuonea wivu ama?[emoji23] [emoji23]Yaani hamna hata mwanaume1 haki ya nani[emoji30]
Ulale salama. Nakutakia siku njemaUsiku mwema
Hapana ila Nilitaka kujua kwaninUnatuonea wivu ama?[emoji23] [emoji23]
Basi nipeleke Nkuhungu au Makulu nikale zabibu na karanga[emoji39] [emoji39]Haki
Asante na kwako piaUlale salama. Nakutakia siku njema
Kivipi wakati wewe mwenyewe unaacha lindo peke yake?Niliwahi kusema humu ,hii kazi itafika muda mtaniacha pekee yangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] dingi.Yaani hamna hata mwanaume1 haki ya nani[emoji30]
Oooh! Kumbe mgogo jina?[emoji848]Sisi wengine ni wagogo kwa majina tu. Tumekulia mikoani.
Hapa mtaani nyau nyau walianza kusumbua nikaona Nile nao sahani moja,Tabia yenu ya kulianzisha mapema sijaipenda mjue
Unakaguaje kwa watu bwana, baki hapa na sisiHahaha, nakagua na huko
Ulijua ni nini?Oooh! Kumbe mgogo jina?[emoji848]
Hapa mnategea ,wavivuUnakaguaje kwa watu bwana, baki hapa na sisi
Ni upendo tu, hakuna kingine[emoji23]Hapana ila Nilitaka kujua kwanin