Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Alafu ile tabia yako ya kusepa na kijiji uwache au uwe una aaga,,Eee baba nakuona ulivyo na mori leo
Alafu ile tabia yako ya kusepa na kijiji uwache au uwe una aaga,,Eee baba nakuona ulivyo na mori leo
Hehehehehe jamani mbona mie huwa naagaAlafu ile tabia yako ya kusepa na kijiji uwache au uwe una aaga,,
Hahhahaha isije kuwa MAMA WATOTO ana account JF USIKU WA MANANE,Hii mida ya kukesha inakuwa na laha yake pale unapo ambiwa uta lala jf na mama watoto
Ukiaga uage kwa wote na sio kule chemba,,,,,Vinginevyo tunatunga sheria,Hahhahaha isije kuwa MAMA WATOTO ana account JF USIKU WA MANANE,
Cheaf mida ndio hii,,Mda bado mbona mnamek noise,
Hahaha acha kuota buana chemba ndo wapiUkiaga uage kwa wote na sio kule chemba,,,,,Vinginevyo tunatunga sheria,
Kwa ufupi nini tafasir ya ili jina lako?Hahaha acha kuota buana chemba ndo wapi
Kuna dharula imetokea asee mtaa wa jirani hapo kuna mtoto analilia kulala na pesa sasa sijui tufanyajeLeo mmewahi
Looh ni kwamba its taken aseeKwa ufupi nini tafasir ya ili jina?
Kilicho chukuliwa hapo nini?Looh ni kwamba its taken asee
Hata huu mwandiko tu tayari takenKilicho chukuliwa hapo nini?
Swali na jibu?Hata huu mwandiko tu tayari taken
Bro vipi tena?Mmmh
Swali na jibu?

Hapana, mie niko mtaa wa Pili we hapa endeleeni tuBro vipi tena?