JamiiForums Usiku wa manane
Bungeni kule tunasikia 50 kwa 50
Wanawake wanaharakati tunawasikia wakisema bila kuwezeshwa mnaweza
Sasa sijui yana ukweli kiasi gani
Kweli sisi wanaume hatuwawezeshi
Hahaha hapo kwe kuwezeshwa ndo mnapakomalia sana hampendi kabisaa kutoa ela sahivi eti kisa 50 kwa 50 em acheni hizo mambo buana
 
Karibuni tupate halwa ya usiku wa manane.
IMG_20180923_014929.jpg
 
Back
Top Bottom