Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Nimekuja kwa niaba ya wanaume wa visiwani bila ya kuwasahau wa dar na mikoani.
Tuombe radhi wa mkoaniAlafu wanaume wa sikuhizi kila kona ni janga tu hakuna wa dar wala mikoani shoo
Hahahaha na kweli ndo zaao kujifanya naunga mkono hoja ngoja siku hyo mikono iwakatike ndo akili zitawasogeaWanasubiri kukuche ndo waje kutaja muda/ kupost habari picha na kuunga mkono hoja![]()
![]()
![]()
Ndo kuogopa giza kwenyewe, kwanini wasije lindo wanatuachia wanawake peke yetuWapo sana ila Huku tu ndio hawajafika
Wapo majukwaa mengine huko
Nlimuuluza sikumoja sikumbuki alinibu vitu gani![]()
![]()
Ana mjina mbaya wa kichina mi unanishinda kutamka

Si haki sawa kwa wote na nyie mlinde sasa ili tuende sawaHahaha si bora sisi kuliko nyie vidume mnalala ndani kabisaa
Acheni kukimbia majukumu kwa kujitetea et haki sawaSi haki sawa kwa wote na nyie mlinde sasa ili tuende sawa
Umeshaanza woga maana sio kwa lialia hiiNdo kuogopa giza kwenyewe, kwanini wasije lindo wanatuachia wanawake peke yetu
Hata siogopi niko kamili gado hapaUmeshaanza woga maana sio kwa lialia hii

Inabidi tutumie 'power of woman' kumshawish abadilishe hilo jinaNlimuuluza sikumoja sikumbuki alinibu vitu gani![]()
![]()
Haswaaaa majina ya ndani yamejaa yeye hadi china chaaaInabidi tutumie 'power of woman' kumshawish abadilishe hilo jina
Baelezee hao banaume!Acheni kukimbia majukumu kwa kujitetea et haki sawa



Si mnaipigia kelele kila sikuAcheni kukimbia majukumu kwa kujitetea et haki sawa
Unavyosikia hyo haki sawa unaelewa nini mkuu labda tuanzie hapoSi mnaipigia kelele kila siku
Acheni kulialia
Wasijitetee hapa na swhwmu kubwa wanayoiwazaga wao ni kwe uchumi tu ila kuchepuka utasikia oohh mi mwanaume lloohBaelezee hao banaume!![]()
Kazi na dawaHapo mtakuta mnachat badala ya kufanya ulinzi
Bungeni kule tunasikia 50 kwa 50Unavyosikia hyo haki sawa unaelewa nini mkuu labda tuanzie hapo
Shost ngoja nikaandae kahawa tunywe maana naona usingizi umeanza kunitongozaWasijitetee hapa na swhwmu kubwa wanayoiwazaga wao ni kwe uchumi tu ila kuchepuka utasikia oohh mi mwanaume llooh