TupoNimewakosa humu ndani

Njoo nikubebisheNimewakosa humu ndani
Wuuii tubebishane au tulinde eeNjoo nikubebishe
Tulinde Na kubebishanaWuuii tubebishane au tulinde ee
Haya em bebisha tuoneTulinde Na kubebishana
Hapo Kazi sasa kubebisha kunakuja automaticHaya em bebisha tuone
Njoo utuone tumejaa tele leo!Nimewakosa humu ndani
Ya nini?Maandalizi![]()

Nimewakosa humu ndani
Wewe kweli ni sikio la kufa....yaani huogopi hata mali ya mtu?Njoo nikubebishe
Umemwacha wapi jje's?Popo bundi napita kimya kimya
Hahahaha hili ni zaidi ya sikio la kufa wallahWewe kweli ni sikio la kufa....yaani huogopi hata mali ya mtu?
Nipo dear, nimekumiss zaidiThad nmekumiss upo
Lindo, kabla hujaenda lindo kwanza unachkua kakinywaji, fegi kadhaa, maji, kirungu cha mgambo, na smatfone, na karedio, tochi, nkYa nini?![]()

Mabaya yanamwita huyoHahahaha hili ni zaidi ya sikio la kufa wallah
Yupo kitandani nimekuja kupiga chabo mara moja huku jamviniUmemwacha wapi jje's?