maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Ndo nipo hapa mpaka majogoo mwenye mali nae ameenda kulinda huko mimi nalinda humuNjoo utuone tumejaa tele leo!
Ndo nipo hapa mpaka majogoo mwenye mali nae ameenda kulinda huko mimi nalinda humuNjoo utuone tumejaa tele leo!
Leo nimesahau zana za kazi, naomba tushare vya kwako tafadhaliLindo, kabla hujaenda lindo kwanza unachkua kakinywaji, fegi kadhaa, maji, kirungu cha mgambo, na smatfone, na karedio, tochi, nk [emoji848]
Ana kiu na damu yake huyu naonaMabaya yanamwita huyo
Wakati unapiga chabo angalia na wewe usipigwe chabo!Yupo kitandani nimekuja kupiga chabo mara moja huku jamvini
Nimeipenda hiyo life style yenu ya kutokulindanaNdo nipo hapa mpaka majogoo mwenye mali nae ameenda kulinda huko mimi nalinda humu
Utatulipa nini, lini na wapi?Walinzi mlinde geti vizuri
Aah nani amlinde mwenzie sahizi kila mtu analinda kivyake eeeNimeipenda hiyo life style yenu ya kutokulindana
Kwan we sio mlinzi eeeVipi taa za kumulika zipo au mpo gizani
Tupo gizani tumelala tutalinda kukipambazuka[emoji126] [emoji126] [emoji126]Vipi taa za kumulika zipo au mpo gizani
Ila kulindana nako kuna raha yake atiAah nani amlinde mwenzie sahizi kila mtu analinda kivyake eee
Ni kweli shoo lakini sasa mda mwingine kila mtu anahitaji arelax wewIla kulindana nako kuna raha yake ati
Kabisa! Maana kwenye kulindana hakukosekani vitimbi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli shoo lakini sasa mda mwingine kila mtu anahitaji arelax wew
Unaweza shangaa katikati ya lindo mmefyatuliana risasi wooiiKabisa! Maana kwenye kulindana hakukosekani vitimbi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni muhudhuriaji muaminifu kabisaLindo jema Wapendwa, tukijaaliwa, baadae tena.
Ndo maana na Mimi nimekujaJamani leo lindo halina watu kabisaa