JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapo nimekuelewa ndugu yangu....

Daaaah huko ni mambo vulu vulu tuuuu..

Mishe gan huko wafanya jombaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapambano tu mkuu,Ila narudi soon.Ni ka nchi Ka kawaida sn.Ila ni full udikteza zaidi ya huko Kwa mjomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapambano tu mkuu,Ila narudi soon.Ni ka nchi Ka kawaida sn.Ila ni full udikteza zaidi ya huko Kwa mjomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi leo geti halifungwi ee

Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanyeje?
Leo ni Jf mchana wa manane

Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Geti llimefunguliwa rasmi.

Karibuni.
Hivi leo nani aliacha geti wazi mpaka mamluki wakatuingilia?
 
Back
Top Bottom