MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Hahahaha,Mbona chige hajawahi niambia chochote labda likes tu
Wewe dogo mkuda sana.
Sasa mambo ya Pipe umeyatoa wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,Mbona chige hajawahi niambia chochote labda likes tu
Usiende bado kidogo mkuuNiwatakie mapumziko mema...na sikukuu njema
Tukijaaliwa tena....baadae.
Nisubirie tufuatane lindo limenishinda hata mimiNiwatakie mapumziko mema...na sikukuu njema
Tukijaaliwa tena....baadae.
SitakiMujer
Vijana wengine first year SUA campus ya DodomaOoo ,sasa sio vzr MTU mzima nikasema maneno hapa,vijana wakasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
¡por favor!Naondoka zangu nitaongea na wewe tena hasira zikipungua
Te quiero AsteliaSitaki
Aisee ngoja nikaulizie km kongoro bado lipo wawaleteeNisubirie tufuatane lindo limenishinda hata mimi
Hapo kwenye pipe sijaelewa.Hahahaha,
Wewe dogo mkuda sana.
Sasa mambo ya Pipe umeyatoa wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki lugha yoyote¡por favor!
Kiko, mkuu kwani anavuta mtembaHapo kwenye pipe sijaelewa.
Kama nime offence hivii
Hahaaaaa yani nimejisemea tu sijui kama ni kweli
Hapana sina hamu na chochote kuna mtu kaniudhi,,, kwaheri
Nakupe A wa vinciSitaki lugha yoyote
Kiukweli nimesema tu kurelate tu na wazee wanaovuta kiko. Sijui kama ni kweli
Hahahahahaha, haya bwana.Kiukweli nimesema tu kurelate tu na wazee wanaovuta kiko. Sijui kama ni kweli
Mkuu umekuwa km huyuHapana sina hamu na chochote kuna mtu kaniudhi,,, kwaheri