Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,060
Hahaaaaaaaaaaa hata ww unatamani kua baby face ila unakimbiza age ya mugabeMimi nina miaka 26 kweli,
Halafu Baby Face [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaaaaaa hata ww unatamani kua baby face ila unakimbiza age ya mugabeMimi nina miaka 26 kweli,
Halafu Baby Face [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Macho mazito hili swali nitakujibu kesho yani siwezi tenaHili swali linakufaa ww unaweza kuwa na jibu: kwanini mwanamke anajiremba asubuhi anakaa na makeup siku nzima na joto la nchi hii ila usiku kumetulia na kaubariiidi mbona hawapaki wakapendeza, eeh walale wakiwa wamependeza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuriiii kiko sio sigara bossMimi sijawahi tumia sigala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tihii aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nina miaka 26 kweli,
Halafu Baby Face [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka ake lemutuz
Kiko unaweza ukaiweka tu mdomoni ukavuta hewa unatoa hewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuriiii kiko sio sigara boss
Itakua ajabu..Kiko unaweza ukaiweka tu mdomoni ukavuta hewa unatoa hewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa lemutuz akijicheki anajiona km sean kingston wakati ndo anatoka tokaKaka ake lemutuz
Oooh shauri yako.Hahaaaaaaaaaaa hata ww unatamani kua baby face ila unakimbiza age ya mugabe
70s bado mbichi. Ushapita kiwango alichoweka Mungu kuishi
Aaaah.Hahahahaa lemutuz akijicheki anajiona km sean kingston wakati ndo anatoka toka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]70s bado mbichi. Ushapita kiwango alichoweka Mungu kuishi
Mwisho umekonfesi nwenyewe kwa kutuita watoto...Aaaah.
Acheni hizo mambo basi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa, watoto hamna soni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Le Mutuz Nation.Mwisho umekonfesi nwenyewe kwa kutuita watoto...
Mobimba nyenyee nyeee
Kitu kinachonifanya nione yule mzee is more than the word mzee itselfHahahahaa lemutuz akijicheki anajiona km sean kingston wakati ndo anatoka toka
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda alisomea had darasa la nne, [emoji16][emoji16][emoji16]Kitu kinachonifanya nione yule mzee is more than the word mzee itself
Kwa kawaida humu jf ukimzungumzia mtu yoyote maarufu watajitokeza waliosoma nae hata dr shika tulivomuulizia walikuja marafiki zake wa zamani
Ila le mutuz mwaka wa ngapi huu tuna muongelea ? Mpaka leo hajajitokeza rafiki wake wale classmate wake wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado nipo you know...Mobimba nyenyee nyeee
Le usiku mwema nation
You Know