Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Kutamu sana huku mchawi usingizi tu..Asante mkuu. Sijui kama nilishawahi kutia mguu huku. Kunaonekana kuzuri watu mnacheka na kufurahi
Unanifaa kabisa...
Nyasi tuachie sisi waporipori,Nami nifanyie mpango nije ata kukata nyasii
Hata mimi naona dalili hizo bora nishuke tu mwenyeweAbiria Chunga mzigo wako....naona Dereva anataka kukushusha njiani...
Acha tu, nimuache mdg Wangu ajivinjari,mie uzee huu ,nakua mtazamajiUkisharekebisha dk tukawa tunaenda sambamba...mango uko wazi...ila lazima ukajitambulishe kwa Da'Vinci kwanza
Kwakweli nimekasirikaMpenzi
Kikongwe naona unatafuta wa kula nae pension humu...
Sasa mpk nipitie cjui kwa nani,hilo siwezi kwa kweliUnanifaa kabisa...
Tushapitia prukshani nyingi...sasa ni kula raha tu
Nimekuudhii nini utamu wangu?Kwakweli nimekasirika
Naomba usubiri mpaka akushushe....Hata mimi naona dalili hizo bora nishuke tu mwenyewe
Njoo uchuke lisiti ww
We hujui?Nimekuudhii nini utamu wangu?
Mfundishe maunjanja basi...maana bado hajui anataka nini....Acha tu, nimuache mdg Wangu ajivinjari,mie uzee huu ,nakua mtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushaelewana sisi...
Sijui mamaa shida nini?We hujui?
Siyo pensheni bwana,Kikongwe naona unatafuta wa kula nae pension humu...
Kwani ww umeambiwa nini?