JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nimecheka
Hili swali linakufaa ww unaweza kuwa na jibu: kwanini mwanamke anajiremba asubuhi anakaa na makeup siku nzima na joto la nchi hii ila usiku kumetulia na kaubariiidi mbona hawapaki wakapendeza, eeh walale wakiwa wamependeza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom