Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Acha nihakiki kwanza....maana..
Acha nihakiki kwanza....maana..
Sawa km mmeelewana,mie naenda mtaa wa Pili kuangalia Usalama kdgTushaelewana sisi...
Usipitie kule tena...
Anhaaa boom kutoka bodi ya miwa kagera sugar.
Nishasahau ,nikumbushe, utu uzima huu,mambo mengiKwani ww umeambiwa nini?
Eehhh...nimemaanisha Mimi na wewe tushaelewana....
Hahahahaha,Anhaaa boom kutoka bodi ya miwa kagera sugar.
Kwamba anataka under 30 tuu
Kdg kdg utajua tu ,vijana nyieMfundishe maunjanja basi...maana bado hajui anataka nini....
Mimi ukinipa hii fursa ntakulindia hadi zamu yako, mahaba mubasharaa [emoji16][emoji16][emoji16]Usingizi umetoweka ghafla...
Hahaaaaaaaa leo nimekupatia huna pa kukimbilia
Ndio mkuu, huku tunacheka bila kutekenyana [emoji16][emoji16][emoji16]Asante mkuu. Sijui kama nilishawahi kutia mguu huku. Kunaonekana kuzuri watu mnacheka na kufurahi
Oooh,mie above 40 Mkuu ,hadi hapo sina vigezoKwamba anataka under 30 tuu
Uhakiki wapi tena.trust me[emoji2] ,ila nataka nikistaafu tukaishi congoAcha nihakiki kwanza....maana..
Usiwasikilize wakina Chige wanakudanganya bwana....Shauri lako.Hahaaaaaaaa leo nimekupatia huna pa kukimbilia
Sidhani kwa hali niliyoiona yupo na mimi ila macho bado yanaangalia wengineNaomba usubiri mpaka akushushe....
Udereva hajausomea bure...
Atakufikisha uendako
Mbona chige hajawahi niambia chochote labda likes tu
Ooo ,sasa sio vzr MTU mzima nikasema maneno hapa,vijana wakasikiaEehhh...nimemaanisha Mimi na wewe tushaelewana....
Mbona wakimbia ?
MujerSidhani kwa hali niliyoiona yupo na mimi ila macho bado yanaangalia wengine
Naondoka zangu nitaongea na wewe tena hasira zikipunguaSijui mamaa shida nini?