Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Kubali kua ww umemshinda le tumboz karibia miaka 6
Abiria Chunga mzigo wako....naona Dereva anataka kukushusha njiani...
Na wewe unataka kusema ni underage?
MpenziHayo ndio maneno
Congo siji
MpenziHayo ndio maneno
Mzee hataree ananuka mvi
Usingizi umetoweka ghafla...
Hahaha,Kubali kua ww umemshinda le tumboz karibia miaka 6
Hata mdogo wako le tumboz hakubali kua yy ni mkubwa
Wewe Dada Vinci usinichafue hapa.Hata mdogo wako le tumboz hakubali kua yy ni mkubwa
Karibu sybKuku mgeni...
Haiwezekani....hawasemagiKuku mgeni...
Nami nifanyie mpango nije ata kukata nyasiiWewe Dada Vinci usinichafue hapa.
Mimi bado mwanafunzi wa chuo TIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Sijui kama nilishawahi kutia mguu huku. Kunaonekana kuzuri watu mnacheka na kufurahiKaribu syb