Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Mimi mwenyewe soon nitakimbiaHaunishindi wangu....acha niwakimbie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe soon nitakimbiaHaunishindi wangu....acha niwakimbie
Ahsante mkuu...Kwakweli..maana nimevuta picha umbali wake na ulikua watembea kwa mguu...hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa zile nyuzi za "rafiki yangu ana tatizo"[emoji23]Ni kweli usemayo...vituko sana
Wewe umeambiwa, hakuna cha jiwe gizani wala nini........HahaaaaaaaaaaaaaAAAAA jiwe gizani.
Babu bomba kaumbuka
Sema zee la nyani unayeogopa umandeDada Vinci bwana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huwa sielewi labda kombe la dunia kidogo
[emoji23] so anakua wa 3 ukiwatoa ruge na le mutuzKagoma kuzeekaa jamaa
Naanza kuona wivu sasa....sijui kwanini sikusikiliza moyo....Hii haifanyi niache kukupenda Astelia
Anaitwa nanii vileeeHasa zile nyuzi za "rafiki yangu ana tatizo"[emoji23]
Nilimkubali jamaa mmj yy aliumwa ugonjwa mbaya akajisema na picha akaweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindwe kabisa
Ndio mkuu km mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe yamefungwa? Walioko ndani hawatoki walioko nje hawaingii?
Ksmshinda lemutuz kidogo
Hujarekebisha dk bado?
Ndio maana nakupenda mambo madogo kama haya hayawezi kutugombanishaHii haifanyi niache kukupenda Astelia
Keep knocking you might come inNaanza kuona wivu sasa....sijui kwanini sikusikiliza moyo....
Haiwezi tokea dear. Ur mineNdio maana nakupenda mambo madogo kama haya hayawezi kutugombanisha
Yamekuwa hayo [emoji17] [emoji17]Naanza kuona wivu sasa....sijui kwanini sikusikiliza moyo....
Hahaaa jiwe gizani hili..