Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Mimi mwanamke mwenzio ujueMimi ni mfanyakazi mtiifu lazima nifikishe uzembe umezidi mno[emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwanamke mwenzio ujueMimi ni mfanyakazi mtiifu lazima nifikishe uzembe umezidi mno[emoji31] [emoji31]
Hahaha...halafu watu wako serious kumpa ushauri.....[emoji23] yule mkuu chenga sana . Afu ana miaka 24 imagine alivokua 18
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hakuna anayetaka kuonekn mzee sio yy tu hata mimiHahaaaaa babu bomba hutaki kuonekana mzee mbele ya watoto wakaree hapa..
Kumbe yamefungwa? Walioko ndani hawatoki walioko nje hawaingii?
Kweli tena nipo pale TIA Mbeya..Hahaaaaa babu bomba hutaki kuonekana mzee mbele ya watoto wakaree hapa..
Ukiwaona wanavyokimbia na kurudi unaona km wanafukuzwa na nyukiUnisamehe bure na maswali wachezaji wa mpira hata siwafahamu dear
Weka ile ukiwa umeshika kikoKweli tena nipo pale TIA Mbeya..
Unataka niweke na picha yangu ili uamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] jamiiforum tamu sana aisee, isingekuepo tungekua kama tunaishi middle stone eraHahaha...halafu watu wako serious kumpa ushauri.....
Ushindwe kwa jina langu
Hii haifanyi niache kukupenda AsteliaUnisamehe bure na maswali wachezaji wa mpira hata siwafahamu dear
Hata kama lazima nikaseme alafu unajitapa mbele ya watu eti mimi huwa nasinzia na hawanifanyi chochote kweli!
Haunishindi wangu....acha niwakimbie
Hahahahahaha,Weka ile ukiwa umeshika kiko
Ni kweli usemayo...vituko sana[emoji23] jamiiforum tamu sana aisee, isingekuepo tungekua kama tunaishi middle stone era
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagoma kuzeekaa jamaaHahaha hakuna anayetaka kuonekn mzee sio yy tu hata mimi
Kwa wabebez nakua dogo wa first year[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada Vinci bwana...Unachofanya ni kama wale majamaa walivyongangania eti mie ke. Nawe wazidi kumuaminisha
Kwakweli..maana nimevuta picha umbali wake na ulikua watembea kwa mguu...hongera sana