Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,561
Wanashangaa feri sio hukuNimeshangaa tu..
Wanashangaa feri sio hukuNimeshangaa tu..
Wifi gani atakubwekea, niko down hadi mbu hawataki kuningataWe nawe Shem gani ulienae?
Me nakuogopa wifi asije akabweka bure!
Nikusaidie kuguna ''mmmmmmh!Mmmhh
Eeehh acha niende Ferry nikale samakiWanashangaa feri sio huku
Usisahau na harufu maridhawaEeehh acha niende Ferry nikale samaki
Naenda kushangaa na kula samaki....Usisahau na harufu maridhawa
Vinci anavituko....Nikusaidie kuguna ''mmmmmmh!
Upite unisalimie ni mlinzi hapa jumba leupeNaenda kushangaa na kula samaki....
Ahaah, kumbe ulimaanisha hivyo.
Ndio nyumbani hapo, nawafahamu wote...ila wewe sikufahamuUpite unisalimie ni mlinzi hapa jumba leupe
Hahahahahahah we nawe! Da'Vinci yupo busy kuwalinda wengineAisee malaika wote hao komredi, wala usiwasumbue ngoja nimwite Da'Vinci nafikiri ulinzi wake unatosha.
Cc Astelia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wifi njoooo anajijua... Hadi mbu wanamfahamuWifi gani atakubwekea, niko down hadi mbu hawataki kuningata
SaaaanaVinci anavituko....
Nitakuchapa wwWifi njoooo anajijua... Hadi mbu wanamfahamu
Ni mkata nyasi ndani ya getiNdio nyumbani hapo, nawafahamu wote...ila wewe sikufahamu
Lini?Nilikuomba ruhusa ya kulinda mwili na moyo wako ulinikatalia