Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
I pi?
Umefurah kumuonaaHahahha
Kwema kabisa...weekend imeishaje?
Fanya urekebishe..aisee
Hahaha huyu namjua unaweza ukafikiri kalala kumbe anachungulia kama sungura. Hiyo ni tekinik mpya ya lindo ameipata huko North Korea.Mr Miller keshasinzia kitambo, hafai kuwepo Lindoni
Vp huko uhaibuni....okay
Shukrani
Hata Mimi nahisi nikaugonjwa ketu wengi
Kuna ka ukweli hapoHahaha huyu namjua unaweza ukafikiri kalala kumbe anachungulia kama sungura. Hiyo ni tekinik mpya ya lindo ameipata huko North Korea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha inapendeza sana kulinda kimataifa, karibu nchi ya jiwe kuu la pembeni utupe ujuzi wa kimataifa.
mmh!!Vp huko uhaibuni....
Sorry mkuummh!!