Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,443
- 110,072
Aisee mwisho manyovu tuUwezo wako ni kufika wapi?
Aisee mwisho manyovu tuUwezo wako ni kufika wapi?
Sawa nitakupa maelekezo wapi ukachukue mzigo wako,pulii zima ucheze naloAisee mwisho manyovu tu
Ahaaaaaa mkuu hiyo process yote itumie kunipa michongo ya noti na kujilipua majuuSawa nitakupa maelekezo wapi ukachukue mzigo wako,pulii zima ucheze nalo
Hahaha, huu Uzi hausiani na michongo ya notiAhaaaaaa mkuu hiyo process yote itumie kunipa michongo ya noti na kujilipua majuu
Ila unahusiana na michongo ya puli?Hahaha, huu Uzi hausiani na michongo ya noti
Huo wa kwesta ft wale ndo unaitwa Spirit. Cause that's one weird ass song. Sijauelewa elewa huu wimbo.Tupia kwest ft wale
Alpha_Yes
Hy imechomekewa tu,hapa ni kukesha ,michongo ya noti ianzishie tuje tuiweke huko ,usihofu, ukiweza karibu central Africa huku ,line za $ za kutoshaIla unahusiana na michongo ya puli?
Ndio huo huo huwez elewa humk coz kinaimbwa kitu cha mpumalanga/Kwazulu natalHuo wa kwesta ft wale ndo unaitwa Spirit. Cause that's one weird ass song. Siajuelewa elewa huu wimbo.
Hii comment naiweka hafu nakutakia usiku mwema Kesho panapo majaliwa nitakustua kwenye uzi fulaniHy imechomekewa tu,hapa ni kukesha ,michongo ya noti ianzishie tuje tuiweke huko ,usihofu, ukiweza karibu central Africa huku ,line za $ za kutosha
Mkuu mbn umetisha asee,umeiweka tena? Haya usiku mwema ,mm bado kdgHii comment naiweka hafu nakutakia usiku mwema Kesho panapo majaliwa nitakustua kwenye uzi fulani
anhaa ndo maana, ila video nimeikubali. Its dope!Ndio huo huo huwez elewa humk coz kinaimbwa kitu cha mpumalanga/Kwazulu natal
NaamMpaka mishale