Umepita kwenda wapi tenaNimepita
Umepita kwenda wapi tenaNimepita
Show time tumwage motoWazeee wa night kaliiiiii
Muda wetu huu wakukamata dagaaaa
Dagaa wa wapi hawa?Wazeee wa night kaliiiiii
Muda wetu huu wakukamata dagaaaa
Mimi niko nusu hapaKwema wakuu
Tatizo nini hadi huo unusunusuMimi niko nusu hapa
Msalimie Mjomba aiseee...mwambie kesho aniweke mbegeTupo tupo ,Niko kwa Shayo hapa
Poa poaMsalimie Mjomba aiseee...mwambie kesho aniweke mbege
Nitoka harusini nimevimbiwa majiTatizo nini hadi huo unusunusu
Pole me nipo ntakufariji usijali mkuuYaani...acha tu.
Usiku huu kwangu mrefu sana
Usinikimbie tuPole me nipo ntakufariji usijali mkuu
Shit happens
Kwema! Utokako kwema?Kwema?
Kwema kabisaaa jirani 'angu uje basi kesho uone twins wangu(ma anko wako)Kwema?
Ni me na ke au?Kwema kabisaaa jirani 'angu uje basi kesho uone twins wangu(ma anko wako)