Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Unakujaga na majukumu sio jina tu....hapo ada ya Baby care ya kwanza juu yako...Mara paaaaaaa! Nimekua anko oyooooooooo

Unakujaga na majukumu sio jina tu....hapo ada ya Baby care ya kwanza juu yako...Mara paaaaaaa! Nimekua anko oyooooooooo

Umempa inna taarifa?Woooyyooo![]()
Bas sawa, ngoja nijenge mwiliItakua tunapishana
Usihofu yataisha, sasa kwann knywa to much,Maji....H2O na Jimbo za Mungu nyingi tu
Anayo,.alikiwepo hospitali siku nawaleta duniani,.Umempa inna taarifa?
Hahah,.mkumbushe majukumu ya anko,Unakujaga na majukumu sio jina tu....hapo ada ya Baby care ya kwanza juu yako...![]()
Tulipewa kila mtu chupa 6 hadi mwisho wa sherehe ikabidi nizimalize tu.Usihofu yataisha, sasa kwann knywa to much,



Unakujaga na majukumu sio jina tu....hapo ada ya Baby care ya kwanza juu yako...![]()
watoto ni baraka hivyo basi ni vyema na haki kuwapenda na kuwajali.Basi ni mchoyo wa taarifa hata kunitonya? Hii kesi ina muhusuAnayo,.alikiwepo hospitali siku nawaleta duniani,.
Kabisa....wakiita ankooo na wewe unakohoa msimbazi...![]()
![]()
![]()
watoto ni baraka hivyo basi ni vyema na haki kuwapenda na kuwajali.
Umechagua majina gani?Hahah,.mkumbushe majukumu ya anko,
Aiseee...ana kesi ya kujibu InnaBasi ni mchoyo wa taarifa hata kunitonya? Hii kesi ina muhusu
Kweli kabisa mama wawiliAiseee...ana kesi ya kujibu Inna
Nathaniel & Nathalie...Mama "N"Umechagua majina gani?

Tulipewa kila mtu chupa 6 hadi mwisho wa sherehe ikabidi nizimalize tu.![]()
so funny.Aisee safi sana mama "N"Nathaniel & Nathalie...Mama "N"![]()
![]()
so funny.

Yeeeess...ila unakumbuka nilikua assignment jirani?!Aisee safi sana mama "N"