Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Me&keNi me na ke au?
Me&keNi me na ke au?
Fresh kabisa! Za huko ulipo?Kwema! Utokako kwema?
Kwema HB wa makao makuuKwema?
Hongera Mummy....raha sana. Mungu akutunzie...Kwema kabisaaa jirani 'angu uje basi kesho uone twins wangu(ma anko wako)
Ndio unatuaga au?Weekend njema wana jfView attachment 833256
Hongera jiraniMe&ke
Ahsante sweetheart,. Amina Mungu ni mwema wakati wote,.Hongera Mummy....raha sana. Mungu akutunzie...
Dingi umepotea sanaKwema HB wa makao makuu
Mkuu ndio unakula saa 7 kasoro hiiWeekend njema wana jfView attachment 833256
Naam ngoja nile kwanzaNdio unatuaga au?
Naam!! Ndio napata msociMkuu ndio unakula saa 7 kasoro hii
Ahsante jirani wa mm,.juzi nilipita kigogo nikatamani nikucheki ila wajomba zako wasumbufu jomoniiiHongera jirani
nikaona niwawahishe tuu nyumbaniHuku hatujambo kabisaaaFresh kabisa! Za huko ulipo?
Maji yapi, maji makali?Nitoka harusini nimevimbiwa maji
Mara paaaaaaa! Nimekua anko oyoooooooooAhsante sweetheart,. Amina Mungu ni mwema wakati wote,.
Tunapishana tu,Dingi umepotea sana
Maji....H2O na Jimbo za Mungu nyingi tuMaji yapi, maji makali?
VizuriHuku hatujambo kabisaaa
Itakua tunapishanaTunapishana tu,
Me mbona nipo hapa kijiweni sana tu