JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi nilisom shule moja hivi nikayakuta haya.nikahama[emoji23] niliyoenda hatukuaga tunapanga mistari ni kila mtu na time yake
Mimi nilisomaga shule moja hivi mbeya na nilihamia bahati nzuri roommates walikua viongozi kwa hiyo muda wa msosi ukifika wao Ndio walikua wanatuchukulia

Ila bado nilishindwa utaratibu wa kupanga mstari kuchukua uji kila asubuhi...nilivyorudi dar niligoma kurudi katika ile shule
 
Back
Top Bottom