mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Ma bosslady ndo mnaitwa hivyo mkuu.Tusiokuwa na nane nane....tukawajibike
Ma bosslady ndo mnaitwa hivyo mkuu.Tusiokuwa na nane nane....tukawajibike
Naona unachelewa nakwenda kwa majukumu kuwajibikaNskuja nisubiri
ubir
Maisha ndg yangu,nilikimbia umande(shule) matokeo yake ndo haya niko malindoni usiku wa manane
sawa mkuu. Ila kupanga ni kuchagua.Uboss nyuma ya keyboard???Ma bosslady ndo mnaitwa hivyo mkuu.
Lete screen shot. Tofauti na hi sirid sijaona.Acha uongo...nisha ku Quote Da'Vinci...nitakuletea screen shot...ujue sijaanza Leo kukuchungulia.![]()
Ni kweli mkuu though tangu kipindi cha Jk nausikia huo msemo ila sijawahi kuuelewa mkuu.sawa mkuu. Ila kupanga ni kuchagua.
Kweli??? Acha niitafute...Lete screen shot. Tofauti na hi sirid sijaona.
Ulianza kunichungulia wapii..
Aisee mimi nawewe hatuchekani mkuuMaisha ndg yangu,nilikimbia umande(shule) matokeo yake ndo haya niko malindoni usiku wa manane
Ambao hawahusiki na 8 8 kesho wengi wamejiajiri na ma biz yao mkuu.Uboss nyuma ya keyboard???
Ungejua? Acha tu
Hahah welcome to the world mkuu,mateso bila chuki inaitwa.Aisee mimi nawewe hatuchekani mkuu
Lete tuonee.Kweli??? Acha niitafute...
Kazi ni kazi mkuuMaisha ndg yangu,nilikimbia umande(shule) matokeo yake ndo haya niko malindoni usiku wa manane
Amen mkuu,barikiwa sana mkuu.Kazi ni kazi mkuu
Nasumbuka mchana na vibarua vyangu vya zege na tofali naja kujilewaza hukuHahah welcome to the world mkuu,mateso bila chuki inaitwa.
#37422...Lete tuonee.
Wasichana hua hawajui hili mkuuKazi ni kazi mkuu
AmenAmen mkuu,barikiwa sana mkuu.
Pole mkuu lkn ukikomaa kidogo unaweza kushangaa unamiliki 'kiwandaaaaa'Nasumbuka mchana na vibarua vyangu vya zege na tofali naja kujilewaza huku
Napenda pale mtu anapojishusha kuliko kujipandisha...Maisha ndg yangu,nilikimbia umande(shule) matokeo yake ndo haya niko malindoni usiku wa manane
Kuna baadhi tunajua japo sio woteWasichana hua hawajui hili mkuu