mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah mkuu bana,mimi nyeusi naita nyeusi mkuu wangu.Napenda pale mtu anapojishusha kuliko kujipandisha...
Nimekuelewa.
Hali yangu ni tete huku mtaani mkuu.
Hahah mkuu bana,mimi nyeusi naita nyeusi mkuu wangu.Napenda pale mtu anapojishusha kuliko kujipandisha...
Nimekuelewa.
Na Mimi naona hivyo tu...sijaona nyeupe kwenye nyeusiHahah mkuu bana,mimi nyeusi naita nyeusi mkuu wangu.
Hali yangu ni tete huku mtaani mkuu.
Kweli mkuu. Nyundo 2 za kugonga kokoto ni kiwandaPole mkuu lkn ukikomaa kidogo unaweza kushangaa unamiliki 'kiwandaaaaa'
1 in a million nadhani.Kuna baadhi tunajua japo sio wote
2% out of 100%Kuna baadhi tunajua japo sio wote
Mbona sijaona hizo shots..#37422...
Wapo wengi...sema tunajisahaulisha wakati mwingine...1 in a million nadhani.
Hahah nadhani mwijage atakuja kuzindua kiwanda hicho.Kweli mkuu. Nyundo 2 za kugonga kokoto ni kiwanda
Nitajaza bwana...we tazama post ya hiyo namba niliyokuandikia....Mbona sijaona hizo shots..
Wengi wao mjini wanajiita ma ladyboss mkuu.Wapo wengi...sema tunajisahaulisha wakati mwingine...
Nilisema tofauti na uzi huuNitajaza bwana...we tazama post ya hiyo namba niliyokuandikia....
Sawa mkuu wangu,Mungu ni mwema sana.Na Mimi naona hivyo tu...sijaona nyeupe kwenye nyeusi
Msiseme hivyo mbona tupo wengi takwimu hiyo sio2% out of 100%
Utepe itakua rundo moja la mawe avunjeHahah nadhani mwijage atakuja kuzindua kiwanda hicho.
Huku kijijini kwetu mpaka uwe Lady .....umetumikia jamii yako vizuri...Wengi wao mjini wanajiita ma ladyboss mkuu.
Luck dube_Think about childrenLoooord i hope this day is good-Don Williams.
Lindo lako la kishua eeehh?Loooord i hope this day is good-Don Williams.
Wachache sana kama blonde girl witj blue eyeMsiseme hivyo mbona tupo wengi takwimu hiyo sio