mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah kuna dada humu jf alikua anajiita ladyboss full kuogopeka,mara paap modes wakaunganisha id yake nyingine akitangaza anauza kitanda na godoro palikua hapatoshi humu mkuu hahah.Huku kijijini kwetu mpaka uwe Lady .....umetumikia jamii yako vizuri...
Hao wa mijini wanapenda jina tu...sio uhalisia

