mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah aaah wapi boss.Nilijua umenidhikia nchare
Hahah aaah wapi boss.Nilijua umenidhikia nchare
Hata mm mkuu nakua verified Platinum member. Watakuja tusure.ila mi nikizipata nikanunua ndinga kali lazima niwe verified user
Labda kwako ndio utanijibu eti ?Jaribu tena
Hawa totoz dawa yao ni yule jamaa alikuaga anasema "naomba assist" hahahTukaushe tu mkuu hatuna mihela,hatuna akili ya kuandika masredi ya uchambuzi wa vitu wasichana wakatupenda. Wacha tuwe watazamaji
Ninyi watu jamii ya kipepe hatariiHahah aaah wapi boss.
Tumalizane hapa hapa...kule password yake siijuiLabda kwako ndio utanijibu eti ?
Mbavu zangu...woga wenu tuHawa totoz dawa yao ni yule jamaa alikuaga anasema "naomba assist" hahah
Yule jamaa kawadufua kweli mademu humu.Hawa totoz dawa yao ni yule jamaa alikuaga anasema "naomba assist" hahah
Na atakua na id mpya humuYule jamaa kawadufua kweli mademu humu.
Alikua sio wewe huyu?Utani sio mzuri mkuu.
Kuna jamaa alikua kwny haice jirani yake kuna dada akawa ananyonyesha, sasa dogo akawa anazingua kunyonya na yule maza akawa anamwambia dogo "nyonya nyonya au ntampa uncle anyonye".
Daah jamaa mwishowe uvumilivu ukamshinda akamwambia dada,hv unajua nimepitiliza kituo cha haice kwa ajili yako,kama unanipa ninyonye nipe tu ila utani sipendi kabisaa ,hahah.
Hahah mambo ya vijana hayo mkuu,mimi nishaoa niko bize na mama yenu tuMbavu zangu...woga wenu tu
Njooo wewe me naogopa kuja tenaWee njoo mm ninayo ya kusema..
Usinisahau ukiwa verifaidi basiHata mm mkuu nakua verified Platinum member. Watakuja tu
Ndio inasemekana yumo ila sijamfahamu kabisaNa atakua na id mpya humu
Njoo lady is first atiii... usihofuNjooo wewe me naogopa kuja tena
Mbona kama umehamisha ubize huku...Jf...fanya utuachie vijana...msalimie mama sanaHahah mambo ya vijana hayo mkuu,mimi nishaoa niko bize na mama yenu tu
Tumalizane hapa hapa...kule password yake siijui
mazungumzo confidential .Angalia kwny list yako ya wale wana majamaa wanao act "ma gentleman hatarii" utampata tu boss.Ndio inasemekana yumo ila sijamfahamu kabisa
Mmhh anza kua karibu yangu kipind hiki nachonuka shomboUsinisahau ukiwa verifaidi basi
Hapana Man is first siku hiziNjoo lady is first atiii... usihofu