Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Mmmmh!Gusa id yangu utaaona jukwaa limeandikwa Start conv.. then ingia utanikuta nimejaa teleee. Kuna kila burudani uitakayo
Mmmmh!Gusa id yangu utaaona jukwaa limeandikwa Start conv.. then ingia utanikuta nimejaa teleee. Kuna kila burudani uitakayo
Kwakweli sijatia nenoo kabisa. Sipo interested na stor hizoHahah aisee humjui mkuu?Ntapita kwny ile thread ya njemba nione kama hujatia neno mkuu.
Nimekusubir sana hadi kidogo nianze kunywa vinywajMmmmh!
Nimekuta milango imefungwa[emoji31] [emoji18]Gusa id yangu utaaona jukwaa limeandikwa Start conv.. then ingia utanikuta nimejaa teleee. Kuna kila burudani uitakayo
Muongoo id yangu unaweza kuona kila kituNimekuta milango imefungwa[emoji31] [emoji18]
Hopefully mshkaji wako mshana jr anajua hupendi mambo hayo mwana.Kwakweli sijatia nenoo kabisa. Sipo interested na stor hizo
Pole [emoji23]Nimekusubir sana hadi kidogo nianze kunywa vinywaj
Hahaaa nimeacha kufuatilia mambo ya Spiritual awakening feb 3 mwaka huu. Niliamua nijikite kwa Mungu zaidHopefully mshkaji wako mshana jr anajua hupendi mambo hayo mwana.
Mkuu nili ku pm kimya mpaka leoHahah aisee humjui mkuu?Ntapita kwny ile thread ya njemba nione kama hujatia neno mkuu.
Nimepoa tayar le madame, unakaribishwa.Pole [emoji23]
Nilipoliona neno kapua akili zangu zikahama nikahisi kibaka kaungia usiku wa mananeHapo tumeelewana. Nita kapua saa nane nane hivi
Mm ndo ninamkosi sijawai ku-pm na mtu aisee...Mkuu nili ku pm kimya mpaka leo
Mkuu PM yangu nikifungua ina-load afu inaandika this module isn't nini sijui,inashida nadhani.Mkuu nili ku pm kimya mpaka leo
Haya ngoja nikaribie tenaNimepoa tayar le madame, unakaribishwa.
Acha upotoshaji mkuu. Maana yake nimepewa ni kukonyezaKapua=Kujichua/puleee.
Ndio maana jana niliona umeandika damu ya yesu iwe nawe usiku huu nikashangaa sana hahah.Hahaaa nimeacha kufuatilia mambo ya Spiritual awakening feb 3 mwaka huu. Niliamua nijikite kwa Mungu zaid
[emoji23] mimi nime pm watu 6 .wame ni pm 2Mm ndo ninamkosi sijawai ku-pm na mtu aisee...
Ooh jaribu kwa browser. Kuna zile picha nilikukuta sehemu unazizungumzia jukwaa moja.mhusika akawa anatokwa povuMkuu PM yangu nikifungua ina-load afu inaandika this module isn't nini sijui,inashida nadhani.
Inakuaje lkn mkuu.
Unabisha mkuu?Acha upotoshaji mkuu. Maana yake nimepewa ni kukonyeza
Hahah aisee nimecheka sana mkuu.,Ooh jaribu kwa browser. Kuna zile picha nilikukuta sehemu unazizungumzia jukwaa moja.mhusika akawa anatokwa povu