mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Kwani jana mkuu,si kuna umemshauri hapa ili apate usingz aunge kifurushi cha chapu.. mkuu au?Unanibambikizia kesi sio
Kwani jana mkuu,si kuna umemshauri hapa ili apate usingz aunge kifurushi cha chapu.. mkuu au?Unanibambikizia kesi sio
Ngoja nikutolee huo mkosiMm ndo ninamkosi sijawai ku-pm na mtu aisee...
Daah mi nikajua nawe ni mzee wa Kilinge aisee.Lakini mkuu kwa huku jf sifuatiliagi sana hayo mambo. Waniongopea
Hahah ushauri wa padri mcharo tena?Ndio nayo ni dawa pia (kwa mujibu wa padri mcharo) ila hizo nilizompa ni kisayansi kabisa
Safi sana mkuu,keep the spiritSema ni vitu navyofahamu tu ila nimejiweka kufanya vitu postivePower tu sasa hv
Kwa lugha iliyokuja na ngalawa tunasema "You are a sweet liar"Huhuhuhu![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana unadanganya ww mbona hunijibu jamoni au ndio nikaoge maji ya bahari!Kwa lugha iliyokuja na ngalawa tunasema "You are a sweet liar"
Hahah am taking a chill pill,nazingua bana mkuu.Take it easy
Mie! Uongo kwangu mwikoNachukia uongo na mwongo😡😡 si bora ungesema kua unatania
OohHahah aisee nimecheka sana mkuu.,
Yule mpotezee tu mkuu.Nilishazivutaga zile muda tu
Mbona wanidanganya sasa toka saa 00:0+Mie! Uongo kwangu mwiko
Not that much coz madem nilio wa pm ni mmoja tu ndio alijibuYou are so lucky man ma dude..

Sina la kusemaMbona wanidanganya sasa toka saa 00:0+

Utani sio mzuri mkuu.Nachukia uongo na mwongo😡😡 si bora ungesema kua unatania
Jaribu tenaNot that much coz madem nilio wa pm ni mmoja tu ndio alijibu![]()
Tukaushe tu mkuu hatuna mihela,hatuna akili ya kuandika masredi ya uchambuzi wa vitu wasichana wakatupenda. Wacha tuwe watazamaji
sure.ila mi nikizipata nikanunua ndinga kali lazima niwe verified userWee njoo mm ninayo ya kusema..Sina la kusema![]()