JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Leo sina usingizi, jamaa mmoja aliwahi kunishauri kusoma novel ngumu kumeza usingizi unaupata fasta. Sijawahi kujaribu kama kuna ukweli kuhusiana na hili. Mliokosa usingizi kama mimi na mpo JF naombeni majibu
 
Surething mkuu, mim mlalaji wa saa nane au tisa hiv, kusoma novel kunasaidia kama una mazoea au kama umejarbu ikatiki
 
Tips za kupata usingizi haraka.
  • Kapua haraka haraka kwa muda wa sekunde 60-120 usingizi utakuja
  • Weka kipande kidogo cha mkaa juu ya sikio usingizi utakuja fastaa
Ushauri kutoka kwa Juma Njemba wa Kg huu.
 
Hapo kama usajili umekosa nafasi sifa za ziada ndo nataka kusikia
Haina haja ya kuwa na shaka huku kwetu Kazi ya uhakika ndo kipaumbele chetu (wazee wetu hawajatuacha salama)
 
Back
Top Bottom