D
Deleted member 485868
Guest
We nae..mwenyewe wahitaji kuliwazwaNilikuambia najitolea kukuliwaza ukakataa.
We nae..mwenyewe wahitaji kuliwazwaNilikuambia najitolea kukuliwaza ukakataa.
Mimi nishakua Mkuu..udogo nakuachia weweUdogo tumeumbiwa mim na wew na mungu haezi umba kitu kibya kwa waja wake...
Akina nani wanakukera bibie😡Wananikera mno
Nimepoa![]()
pole
Sawa mkuu. Hta mim nimetoka hukoMimi nishakua Mkuu..udogo nakuachia wewe

Vumilia tu hakuna namnaWananikera mno
Ukalale sasa...
Moja ya majibu katili niliyo wahi pewa hapa jfUkalale sasa...
unaweza usiamke...Bora nikupe hiiLile tabasamu zito linaloleta usingizi

Wapigisha kigodoro na usiku mwingi hiviAkina nani wanakukera bibie😡
Maralia imenikamua sana nimeshinda nimelala ndo mana niko hapa..We nae..mwenyewe wahitaji kuliwazwa
Tayari fanya kwenda fastaaTag mee please nijee
Yani inanibidi kwakweliVumilia tu hakuna namna
Aisee...naweza kupewa Ban....pole sana kwa kusononekaMoja ya majibu katili niliyo wahi pewa hapa jf
Hata nisipo amka poa tuu, si limetoka kwakounaweza usiamke...Bora nikupe hii![]()
Pole jamaniMaralia imenikamua sana nimeshinda nimelala ndo mana niko hapa..
Kweli nahitaji kuliwazwa. Fanya unifanyie huo msaada wa kuliwazzwa
ArrivedTayari fanya kwenda fastaa
Pole sanaMaralia imenikamua sana nimeshinda nimelala ndo mana niko hapa..
Kweli nahitaji kuliwazwa. Fanya unifanyie huo msaada wa kuliwazzwa
kwani wewe upendi utamu wa ngoma?Wapigisha kigodoro na usiku mwingi hivi
Kesi za kujitakia hizi...Bora nisikupe...uamkeHata nisipo amka poa tuu, si limetoka kwako
Ahsanteee. Jf unaweza shinda unachat mnafurah na mtu kumbe yupo kwenye dripu. Nimekonda within a dayPole jamani