Nawe unalala peke ako??
Atakuwa shemeji huyoYaani...nahisi Kuna mtu huwa ana iba usingizi wangu ...
Duh00:45 risasi zinalia kwa jirani yangu muda huu... kesho asubuhi ntajua kama ni majambazi au wametifuana wenyewe humo ndani
usiku wa manane una mambo ningelala nisingezisikia risasi leo
Kesho.Ndio wewe kumbe? Fanya urudishe, mateso haya...
Kabisa Mkuu mana kma mwezi nyuma neighbours wetu huku wameparaswa sana kuna waloibiwa dhahabu,pesa vitu vya ndani.Polesana! umeathirika kisaikolojia
Ingekuwa afadhali naufuata tu...sasa huyu mwizi wangu sijamjua badoAtakuwa shemeji huyo
Ahsante Mkuu.pole mkurugenzi
Kesho mbali...Kesho.
Ngoja basi nikupunguzie kidogo akati unatafuta wa kwakoIngekuwa afadhali naufuata tu...sasa huyu mwizi wangu sijamjua bado
Mimi mwezi uliopita niliingiliwa na vibaka wakanipulizia dawaKabisa Mkuu mana kma mwezi nyuma neighbours wetu huku wameparaswa sana kuna waloibiwa dhahabu,pesa vitu vya ndani.
Duh sio mchezo wenye kazi zao wameanza.00:45 risasi zinalia kwa jirani yangu muda huu... kesho asubuhi ntajua kama ni majambazi au wametifuana wenyewe humo ndani
usiku wa manane una mambo ningelala nisingezisikia risasi leo
Mtumie vzr huyo jirani uliyenaeKesho mbali...
Acha nijaribu kwa jirani anaweza kuwa nao
Una matani ujue...Mimi sitaki ku think againNgoja basi nikupunguzie kidogo akati unatafuta wa kwako
Pole mkuu walikusanzua kila kitu?Mimi mwezi uliopita niliingiliwa na vibaka wakanipulizia dawa
Aiseee pole sana....Mimi mwezi uliopita niliingiliwa na vibaka wakanipulizia dawa