Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
@carbamazepine mchukue huyu...hakikisha anafika nyumbani.
@carbamazepine mchukue huyu...hakikisha anafika nyumbani.
bado...hivi usiku wa manane umeshafika?
kha!!Wee acha tu, mpaka sasa nimeshapiga kret 3
Mhudumu ongeza glassulimkuta ktk hali gani?
maana anasema anakunywa nanii...isije kuwa zimemzidi

Naona mnahangaika kumtafuta mchawi![]()
![]()
![]()
ndio, kwenye mboga tu lkn.Una kulaga karoti ?mr.
baridi linaleta usingizi?Tumepatwa na baridi...tunaogopa tutalala mapema
@carbamazepine mchukue huyu...hakikisha anafika nyumbani.
Za buku buku jaziwezi kunilevya hata kwa dawa, hapa napoteza poteza tu mudaKaniambia anakunywa zile za buku buku yawezekana zimemzidia

Za buku buku jaziwezi kunilevya hata kwa dawa, hapa napoteza poteza tu muda
tumekubamba Thad, umekunywa kreti 3 peke yako sio!!!!!Naona mnahangaika kumtafuta mchawi![]()
![]()
![]()
Umeona eeeh! Naomba uwe shahidi wangu maana naona wana mpango wa kunibambikizia hii kesiNi jose sema naona jumba bovu linakuangukia wewe besti![]()
Basi jitahidi uwe na kula bila ya kuwekwa kwenye mboga itakusaidiandio, kwenye mboga tu lkn.
msaidie tafadhali, hizo buku buku zimeanza na madhara sasa...Kaniambia anakunywa zile za buku buku yawezekana zimemzidia
mpelekemaa kalale tu
inatosha ThadMhudumu ongeza glass
Sana, huoni siku hizi Neybright, jje's, Kichwa Kichafu, Iceman 3D, Nleterewa Nganengo mumu na Manga ML wanalala mapema?baridi linaleta usingizi?

hii yako tuUmeona eeeh! Naomba uwe shahidi wangu maana naona wana mpango wa kunibambikizia hii kesi