Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
mnyanyue@Mr Miller amekataa
mnyanyue@Mr Miller amekataa
mmh!!Siendi popote....hiyo hela ya ubber nipeni ninunulie bia kadhaa hapa nijinywee
sawaNguvu za ndoa
Mpitie huyo Mr Miller muondoke... Mimi niacheni nijilie kilaji hapa@Mr Miller amekataa
Nini?[emoji848]tutakutoa na nanii sasa!!
Mfuate tuacha ubishi Thad, nikija huko...
mmmh!!Mpitie huyo Mr Miller muondoke... Mimi niacheni nijilie kilaji hapa
Mpitie huyo Mr Miller muondoke... Mimi niacheni nijilie kilaji hapa
vibokoNini?[emoji848]
Whaaaat! Tafadhali usinigombanishe na rafiki yangu kipenzimnyanyue
ngoja nimfateMfuate tu
Asee msalimie sana mangi..Huyo anakuja kukufuata huko uliko
Ngoja niende kwa mangi kwanza[emoji124][emoji124][emoji124]
Husaidia macho kuona vizurisawa chief nitajitahidi, asante kwa ushauri.
lkn zitanisaidia nini hasa?
Asee msalimie sana mangi..
Thubutu... Hapa nilipo ni ngumi mkononi, atakayenigusa nakufa nayeviboko
sikugombanishi mimi..nakusaidiaWhaaaat! Tafadhali usinigombanishe na rafiki yangu kipenzi
asante sana [emoji4]Husaidia macho kuona vizuri
Husaidia kuondoa sumu na taka mwili mwilini
Huondoa pia matuta ktk ini
unaweza kufa na mimi?Thubutu... Hapa nilipo ni ngumi mkononi, atakayenigusa nakufa naye
Hizo faida ni kwa Mr Miller tu, au hata mimi naweza kuzipata?[emoji4]Husaidia macho kuona vizuri
Husaidia kuondoa sumu na taka mwili mwilini
Huondoa pia matuta ktk ini
wewe kwako zitaongeza nguvu ya ndoaHizo faida ni kwa Mr Miller tu, au hata mimi naweza kuzipata?[emoji4]