carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Kwanini ukaingia na mida bado?[emoji23]nimekuta mlango wazi...[emoji125][emoji125][emoji125]
Kwanini ukaingia na mida bado?[emoji23]nimekuta mlango wazi...[emoji125][emoji125][emoji125]
ulimkuta nani ndani baada ya kuingia?Mie nilikuta mlango wazi nikaingia
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli aliingia mwizi humu maana kigoda changu sikioninimekuja kuona nani kaingia isije ikawa wezi sasa!
sio sanaAisee! Tatizo nalo hilo
Thadulimkuta nani ndani baada ya kuingia?
Ila nimegundua, sio kosa lako kwakweliKweli hizo saa zenu zimepoteza majira, rekebisheni[emoji23]
ulinzi muhimu...sikujua nani kaingia!Kwanini ukaingia na mida bado?[emoji23]
Whaaaat! Yaani geti aache wazi yeye halafu mimi nihusike kuandika barua? Haiwezekanimtafute muandike barua ya kuomba radhi
ulikiweka wapi?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli aliingia mwizi humu maana kigoda changu sikioni
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji126]sasa nimeshaelewa kwanini umefungua mapema! [emoji134][emoji134]
Wee acha tu, mpaka sasa nimeshapiga kret 3Naona ni mwendo wa "weita ongeza glasi"
Asante mpendwa
Una kulaga karoti ?mr.sio sana
ulimkuta ktk hali gani?Thad
Tumepatwa na baridi...tunaogopa tutalala mapemasijui mmepatwa na nini kufungua mapema humu
ndio, ungetoa taarifa kabla ya kuingiaWhaaaat! Yaani geti aache wazi yeye halafu mimi nihusike kuandika barua? Haiwezekani
Whaaaat! Yaani geti aache wazi yeye halafu mimi nihusike kuandika barua? Haiwezekani
Kwanini ukaingia na mida bado?[emoji23]
Naona mnahangaika kumtafuta mchawi[emoji23] [emoji23] [emoji23]ulimkuta nani ndani baada ya kuingia?
Ndio ushafika mkuu njoo tukeshe...hivi usiku wa manane umeshafika?
ulimkuta ktk hali gani?
maana anasema anakunywa nanii...isije kuwa zimemzidi