carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Mie mzima sana,sijui wewe
Mimi zaidi rafiki yangu kipenzi! U hali gani dear?
Mimi zaidi rafiki yangu kipenzi! U hali gani dear?
Kwani huko mliko ni saa ngapi jamani? Mimi mbona saa yangu inanionesha ni saa saba kasorobo?Looh! Huu ndio usiku Wa manane

mimi sijui chiefLooh! Huu ndio usiku Wa manane
Mie pia sijambo... Nakunywa zangu bia za buku buku hapa. KaribuMie mzima sana,sijui wewe
nimekuta mlango wazi...Hiyo faini na wewe itakuhusu...kwani nawe umeingia ndani kabla ya wakati![]()
![]()
![]()



Kwanini umeingia wakati unajua ni mapema?hatujapokea pokea barua yake ya kuacha lindo, bado anaimudu ndoa na lindo.
back to the point: kwanini mmetufungulia mapema?

Hata mimi nilikuta mlango wazi, Joseverest ndiye aliyeacha geti wazinimekuta mlango wazi...![]()
Hmm uko china auKwani huko mliko ni saa ngapi jamani? Mimi mbona saa yangu inanionesha ni saa saba kasorobo?![]()
nimekuja kuona nani kaingia isije ikawa wezi sasa!Kwanini umeingia wakati unajua ni mapema?![]()
Mwenyekiti bwana, hujui nini sasa?mimi sijui chief
mtafute muandike barua ya kuomba radhiHata mimi nilikuta mlango wazi, Joseverest ndiye aliyeacha geti wazi
@Mwifwa njoo uitikie salamu zakoMwifa akija mwambie namsalimia wifi yangu....
Mie nilikuta mlango wazi nikaingiahatujapokea pokea barua yake ya kuacha lindo, bado anaimudu ndoa na lindo.
back to the point: kwanini mmetufungulia mapema?
sasa nimeshaelewa kwanini umefungua mapema!Mie pia sijambo... Nakunywa zangu bia za buku buku hapa. Karibu


Aisee! Tatizo nalo hilomimi sijui chief
Kweli hizo saa zenu zimepoteza majira, rekebisheniHmm uko china au
huku ni saa Tatu na dakika ishirini na saba

Naona ni mwendo wa "weita ongeza glasi"Mie pia sijambo... Nakunywa zangu bia za buku buku hapa. Karibu
sijui mmepatwa na nini kufungua mapema humuMwenyekiti bwana, hujui nini sasa?