Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji57][emoji57][emoji53]Hao wahenga wako
[emoji57][emoji57][emoji53]Hao wahenga wako
Asije Kunikuta Kwenye Kilele Cha Maombezi Na Uponyaji Umekaribia Akaleta Vurugu Na Mapepo YakeNjoo atakayewahi kufika ndie atakuwa wa kwanza kuhudumiwa
Hahaha, ufaulu wangu tukuka ulikua katika kozi ya MAGAZIJUTO hivyo shaka ondoa.Huo ufaulu wa upili ulikuwa katika masomo gani? Isije kuwa ulifaulu civics na bible knoledge halafu unataka upewe kazi ya Yuda msaliti[emoji12]
Nabii haongopi kila asemalo wapaswa kulifanyia kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nabii tafadhali acha uchochezi
Ooh Ajitahidi Asimpoteze Atapotea Njia Ya Uzima Wa MileleAisee, naona kondoo anataka kumpoteza Mchungaji[emoji2]
Ufaulu sio shida, tatizo ni 'ukishumundu wako'[emoji12][emoji12]Hahaha, ufaulu wangu tukuka ulikua katika kozi ya MAGAZIJUTO hivyo shaka ondoa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ufanye Haraka Ili Aache Kunizibia Zibia Bhana!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Chelewa chelewa utakuta mwana si wako!
[emoji125] [emoji125][emoji57][emoji57][emoji53]
Basi Ngoja Niende Nikapate Uponyaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi bora utangulie mkuu, kwakua tumeambiwa tuwapende majirani zetu kama nafsi zetu, hivyo ukitangulia ni sawa na mimi nimetangulia.
Hahaha dadeki ..Asije Kunikuta Kwenye Kilele Cha Maombezi Na Uponyaji Umekaribia Akaleta Vurugu Na Mapepo Yake
Amen.Nabii haongopi kila asemalo wapaswa kulifanyia kazi
Hayo ndio maneno[emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi bora utangulie mkuu, kwakua tumeambiwa tuwapende majirani zetu kama nafsi zetu, hivyo ukitangulia ni sawa na mimi nimetangulia.
[emoji25]Kwema mkuu... Naona wamelala
[emoji36] [emoji36] [emoji57] [emoji57]Ufaulu sio shida, tatizo ni 'ukishumundu wako'[emoji12][emoji12]
Hakika Abarikiwe Muumini Huyu Kwa Kukubali Mimi Nianze First ElevenHayo ndio maneno[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Vipi tena mbona povu? Unalo la kutosha nilete nguo zangu[emoji1] [emoji1][emoji36] [emoji36] [emoji57] [emoji57]
Amen, amen, amenHakika Abarikiwe Muumini Huyu Kwa Kukubali Mimi Nianze First Eleven
Sijalala mwanangu utauawa bure....Kwema mkuu... Naona wamelala