Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Amen, Ila Ikitokea Sitaki Sub Usishangae, Ujue Mechi Nimeimudu Haswaaa!Amen, amen, amen
Amen, Ila Ikitokea Sitaki Sub Usishangae, Ujue Mechi Nimeimudu Haswaaa!Amen, amen, amen
Kweli akufukuzae hakwambii toka, ila kwa kuwa u nabii ngoja niwe mvumilivu[emoji24] [emoji125]Vipi tena mbona povu? Unalo la kutosha nilete nguo zangu[emoji1] [emoji1]
[emoji125][emoji125]Kweli akufukuzae hakwambii toka, ila kwa kuwa u nabii ngoja niwe mvumilivu[emoji24] [emoji125]
Mechi gani hiyo unayoizungumzia!? Ile ya jana ya mshindi wa tatu au hii ya leo ya fainal?Amen, Ila Ikitokea Sitaki Sub Usishangae, Ujue Mechi Nimeimudu Haswaaa!
Hao nafikiri watakua Solomoni Musica chini ya Sulemani Muumini.Sijalala mwanangu utauawa bure....
Aleleleeee aleeeeee....
Alelele aleeeee
Nleterewa Nganengo naomba unikumbushe mwimbaji wa wimbo huu
Ewaaa mvumilivu hula mbivuKweli akufukuzae hakwambii toka, ila kwa kuwa u nabii ngoja niwe mvumilivu[emoji24] [emoji125]
Ningeshangaa usijue wakati enzi hizo nakumbuka ulikuwa hukosi kwenda kwenye show zaoHao nafikiri watakua Solomoni Musica chini ya Sulemani Muumini.
Sina tatizo komredi ushindi wako ni ushindi wangu pia, hata kesho najua kuna wachezaji watakua benchi ila watashangilia ushindi.Amen, Ila Ikitokea Sitaki Sub Usishangae, Ujue Mechi Nimeimudu Haswaaa!
Mechi Ya Maombezi [emoji125]Mechi gani hiyo unayoizungumzia!? Ile ya jana ya mshindi wa tatu au hii ya leo ya fainal?
Sawa MkuuSina tatizo komredi ushindi wako ni ushindi wangu pia, hata kesho najua kuna wachezaji watakua benchi ila watashangilia ushindi.
Kondoo naona u mgeni kabisa katika suala la maombi....maombi siyo mechiMechi Ya Maombezi [emoji125]
Labda ngoja nisubiri nione kwa machoEwaaa mvumilivu hula mbivu
Swadakta kabisa, ntaachaje kuhudhuria show zao wakati zilikua bure na zilikua zinafanyika kwenye masinagogi.Ningeshangaa usijue wakati enzi hizo nakumbuka ulikuwa hukosi kwenda kwenye show zao
[emoji119] [emoji119] kwaheri!Swadakta kabisa, ntaachaje kuhudhuria show zao wakati zilikua bure na zilikua zinafanyika kwenye masinagogi.
Nilikuwa-Relate NabiiKondoo naona u mgeni kabisa katika suala la maombi....maombi siyo mechi
[emoji120] [emoji120][emoji119] [emoji119] kwaheri!
[emoji120] [emoji120]Mlale Unono!