JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ewaah nimeanza kuona chembechembe za upako kabla hata ya kusogea hekaluni.[emoji6]
Usisahau pia upande wa Uhasibu nimefanikiwa kumaliza darasa la upili kwa ufaulu tukuka.[emoji12]
Huo ufaulu wa upili ulikuwa katika masomo gani? Isije kuwa ulifaulu civics na bible knoledge halafu unataka upewe kazi ya Yuda msaliti[emoji12]
 
Back
Top Bottom