Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Haina shida, ni furaha yangu kukuhudumiaAkiondoka Huyo Naomba Unitag, Na Mimi Nataka Maombi Mtumishi![]()
Haina shida, ni furaha yangu kukuhudumiaAkiondoka Huyo Naomba Unitag, Na Mimi Nataka Maombi Mtumishi![]()
Hiyo saa moja umeipata ila sio saa hii ni kesho mchana.Basi Naomba Nianze Mimi, Haitachukua Hata Saa Moja Mkuu
Bila shaka umemchosha ndio maana anakoroma mapema yote hiisafi...hongera kama ni kweli,
yupo hapa anakoromaa tu

Teh... :lolHakika nitachat na Aliye juu![]()
Duh.. Basi Nivute Subra MkuuHiyo saa moja umeipata ila sio saa hii ni kesho mchana.
Fanya haraka ili Iyegu asikutangulie maana na yeye yu njiani aja kuhudumiwaOooh!! Hallelujah sifa na utukukufu ziende kwa aliye kuumba, ahsante nabii mke, niko kwa njia naja![]()
Hakikaamesema akiwa nyumbani mwa Bwana anakua macho kabisa
Ewaah, askari hodari haogopi vita, kwa maana anajua atashinda tu.Hata usitie shaka kabisa
Nitashukuru Sana Kama Nitaipata Huduma YakoHaina shida, ni furaha yangu kukuhudumia
Hicho ndio ninachokupendea, unayajua vyema maandiko!Wasiwasi ondoa mkuu, hakuna maombi yenye nguvu kama maombi ya faragha na yanayofanyika usiku (Yesu aliyatumia sana maombi ya faragha). Hata ivyo komredi maandiko yamesema tukeshe tukiomba.

Tena Nipo Kwenye Boeng'i DrimuLaina MpyaFanya haraka ili Iyegu asikutangulie maana na yeye yu njiani aja kuhudumiwa
Tafadhali usinifukuzie kondoo![]()
![]()
![]()
Mkuu nafikiri maombi yangu mpaka nifunguliwe kwenye hivi vifungo itanichukua karne moja, kama utaweza kusubiri sio mbaya.


Aisee, mwambie asisahau kwamba anatakiwa kukesha akiomba mpaka atakapokuja Mwana wa Adamu, au anataka yamkute ya wanawali kumi? Mwamshe tafadhali.kesho ana huduma acha apumzike...hiyo dharura ataishughulikia Thad
Tena Nipo Kwenye Boeng'i DrimuLaina Mpya
Nadhani sasa mtajua kuwa jiwe aliwaza mbali kutuletea hicho chomboUtukufu na heshima vinarudi kwa aliye juu daima MtumishiHicho ndio ninachokupendea, unayajua vyema maandiko!![]()
Hivi mpaka lini nitakufundisha maneno ya wahenga.....'Alalaye usimwamshe ukimwamsha utalala wewe' au unataka Mr Miller alale?Aisee, mwambie asisahau kwamba anatakiwa kukesha akiomba mpaka atakapokuja Mwana wa Adamu, au anataka yamkute ya wanawali kumi? Mwamshe tafadhali.
nipo hapa kwaajili yake...akiamka nalala mmAisee, mwambie asisahau kwamba anatakiwa kukesha akiomba mpaka atakapokuja Mwana wa Adamu, au anataka yamkute ya wanawali kumi? Mwamshe tafadhali.
Nikisha kuombea nitakupa cheo cha uinjilistUtukufu na heshima vinarudi kwa aliye juu daima Mtumishi