Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
utaenda kusinzia ibadani wwSi unajua kesho ni siku ya Bwana....inabidi tukeshe mapema ili kesho tusichelewe ibada![]()
utaenda kusinzia ibadani wwSi unajua kesho ni siku ya Bwana....inabidi tukeshe mapema ili kesho tusichelewe ibada![]()
Nipo tayari kulisha kondoo wa Bwana muda na wakati wowote, njoo nikuombee hata sasa!Aisee, utakua ni wakipekee kwakweli sio kwa vyeo vyote ivyo![]()
Vipi Mtumishi utakua na nafasi saivi nije unifanyie maombi?![]()
Thubutu, nikiwa nyumbani mwa Bwana nakuwa makini kuliko wakati mwingine wote.utaenda kusinzia ibadani ww
Ataenda Kuchat Tu Huyuutaenda kusinzia ibadani ww
Basi siji, bora nilale zangu tuKwenye Red,Nakazia!
Akiondoka Huyo Naomba Unitag, Na Mimi Nataka Maombi Mtumishi :lolNipo tayari kulisha kondoo wa Bwana muda na wakati wowote, njoo nikuombee hata sasa!
Wasiwasi ondoa mkuu, hakuna maombi yenye nguvu kama maombi ya faragha na yanayofanyika usiku (Yesu aliyatumia sana maombi ya faragha). Hata ivyo komredi maandiko yamesema tukeshe tukiomba.Duh.. Maombi Hayo Nina Wasiwasi Nayo :evil
safi...hongera kama ni kweli,Thubutu, nikiwa nyumbani mwa Bwana nakuwa makini kuliko wakati mwingine wote.
Umemuacha wapi mumu?
Oooh!! Hallelujah sifa na utukukufu ziende kwa aliye kuumba, ahsante nabii mke, niko kwa njia najaNipo tayari kulisha kondoo wa Bwana muda na wakati wowote, njoo nikuombee hata sasa!

amesema akiwa nyumbani mwa Bwana anakua macho kabisaAtaenda Kuchat Tu Huyu
unataka nikulale? 😀Basi siji, bora nilale zangu tu
Nimekuelewa Kwa Mbinde Sana!Wasiwasi ondoa mkuu, hakuna maombi yenye nguvu kama maombi ya faragha na yanayofanyika usiku (Yesu aliyatumia sana maombi ya faragha). Hata ivyo komredi maandiko yamesema tukeshe tukiomba.
Akiondoka Huyo Naomba Unitag, Na Mimi Nataka Maombi Mtumishi![]()
Aah Wapiamesema akiwa nyumbani mwa Bwana anakua macho kabisa
Basi Naomba Nianze Mimi, Haitachukua Hata Saa Moja Mkuu![]()
![]()
![]()
Mkuu nafikiri maombi yangu mpaka nifunguliwe kwenye hivi vifungo itanichukua karne moja, kama utaweza kusubiri sio mbaya.
Hebu mwamshe huyo Mama Mchungaji mwambie kuna huduma ya dharura huku komredi.safi...hongera kama ni kweli,
yupo hapa anakoromaa tu
Hata usitie shaka kabisaDuh.. Maombi Hayo Nina Wasiwasi Nayo :evil
kesho ana huduma acha apumzike...hiyo dharura ataishughulikia ThadHebu mwamshe huyo Mama Mchungaji mwambie kuna huduma ya dharura huku komredi.
Hakika nitachat na Aliye juuAtaenda Kuchat Tu Huyu
